
Magoli yaliyofungwa katika kipindi
cha pili na Yaya Toure na Carlos
Tevez yamerejesha ahueni kwa mabingwa watetezi wa ligi kuu ya
uingereza Manchester City baada ya kuikandamiza Chelsea na kupunguza
uwiano wa alama za kuongoza dhidi ya vinara wa ligi ya premier dhidi
Manchester United kwa alama 12 .
Frank
Lampard alipata nafasi safi ya kufunga goli la mia mbili akiwa na chelsea 200th lakini penati yake iliokolewa na Joe Hart dakika saba baada ya kipindi cha pili kuanza

Newcastle imetoka nyuma mara mbili na kushinda dhidi ya Southampton.
Morgan Schneiderlin alipiga mpira kwa
kuparaza na kuifungia timu yake goli la uongozi Moussa Sissoko
aliisawazishia timu yake kwa kufunga ndani ya kisanduku .
lakini shuti la mita 25 kutoka Papiss Cisse
ambaye alifunga bao safi kwa shuti ya aina yake na kuweka mchezo kusomeka moja moja .
Danny Fox's alishika mpira ambao Yohan Cabaye kwa penati kabla ya Jos Hooiveld's kujifunga mwenyewe .
mpaka mwisho wa mchezo Newcaslte 4-2soton
No comments:
Post a Comment