Saturday, September 1, 2012

MAREFA WA LIGI KUU WAPIGWA MSASA TAIFA


Marefa wa Ligi Kuu wakimsikiliza kwa makini Liunda, wakati akiwafundisha kwenye cooper test leo. 

Marefa wa Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza wakikimbia kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo, wakati wa cooper test iliyoanza jana na inatarajiwa kufikia kesho.
Mkufunzi wa marefa anayetambuliwa wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Leslie Liunda akiwafundisha marefa wa Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza katika mtihani maalum wa marefa (Cooper Test) ulioanza jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na unatarajiwa kufikia tamati kesho.

No comments:

Post a Comment