Wednesday, September 19, 2012

KOSOVO VS BAFANA BAFANA NANI MBABE?

Baada ya kutopatikana kwa mshindi katika ligi ya ng"ombe mnyama inayoendelea huko  buganika katika hatua ya nusu fainali kati ya kosovo fc na bafana bafana fc juma lililo pita itarudiwa ili kumpata mshindi wa mnyama huyo

mchezo huo ambao utachezwa leo saa kumi kamili jioni kutakuwa na kiingilio cha Tshs 500 ambapo kosovo fc  ya mwagala watashuka dimbani ili kutifuana na bafana bafana  fc ya buganika ili kupenya katika hatua ya nusu fainali 

No comments:

Post a Comment