Friday, August 31, 2012

mashidano ya meya viwawa yapata ushindi wa chee

LIgi ya meya kata ya ndembezi imeendelea leo huku timu ya viwawa parokia ya ngokoro kupewa ushindi wa magoli mawili na point 3 kutokana na timu ya msituni kukaidi maamuzi ya mlatibu wa mashidano kuludisha mpira walio kuwa wameiba

No comments:

Post a Comment