Saturday, March 9, 2013

KIKWETE :HUU NDIO MZIZIMA WA FITNA KATIKA MAENDELEO YA SOKA NA MAENDELEO YA MICHEZO TANZANIA


http://www.bongocelebrity.com/wp-content/uploads/2009/11/World-Cup-1024x935.jpg
Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania JK

Lazima tutazame vilabu vyetu hapa Nchini Vinaongozwa zaje, wengi wetu tunafahamu kuwa  haviongozwi vizuri huo ndio mzizi wa fitina bila kulitazama hilo hatutaweza kusonga mbele hadi mwisho wa Dunia   
Leo nimeona tutazame kwa undani kidogo  kuhusu matatizo yanayofanya Nchi yetu ya Tanzania kushindwa kufanya vizuri kimataifa ! wengi wetu huwa tuna majibu rahisi katika maswali magumu  lakini hapa lazima tutafakari kwa kina tunashidwa kwa kiasi gani ama nini kinatufanya  tushindwe kufanikiwa katika Nyanja ya kimataifa ?
Moja kati ya mambo yanayoharibu soka au michezo kwa taifa la Tanzania Ni mfumo wa uendeshaji wa michezo yenyewe, tuanze na vilabu vya soka ambapo kwa nchi kama ya Tanzania kama hujazungumzia simba na yanga bado haujazungumzia soka la Tanzania hapa nadiliki kusema hawa ndio wachawi wanaoharibu soka lote la Tanzania.
Tangu Rais mwinyi aliposhuhudia simba inafungwa nyumbani na stela Abidjan ya ivory coast aliibatiza jina la kichwa cha mwendawazimu  hii sio tu kiwanjani kuanzia klabu husika mpaka na uongozi mzima .
Kwa Takriban muongo mmoja uliopita klabu za simba na yanga zimekuwa kwenye migogoro isiyokwisha tena chaa ajabu imekuwa ikija kwa kupishana pishana leo simba kesho yanga swali la kujiuliza wanaoongoza vilabu hivi wanajua hata ABC ya uongozi kwanini imekuwa kero kila kukicha simba na yanga na vilabu hivi vimekuwa vikiambukiza na timu nyingine katika za ligi hiyo ambavyo ni vya kiraia kwa muongo huu mmoja,
 sikuwahi kusikia Timu inayomilikiwa na jeshi kuwa na mgogoro pengine inatokana na aina ya uongozi walionao .
Klabu za simba na yanga hutegemea sana wachama ambao swala kufungwa huwa halipo kabisa katika akilizao kana kwamba wao wameandikiwa kushinda tu au kutoa suluhu kitu ambacho sio kweli kwani hata Brazil hufungwa kwani ndio timu pekee iliyotwaa ubingwa wa dunia mara nyingi zaidi .
Pengine ifike mahali kubadilisha mfumo wa aina ya wanachama kwani aina ya mfumo  wanachama wa simba na yanga ninamashaka nao lakini inawezekana wanalipa mamiliano ya shilingi ndio maana wanaskia uchungu sana timu inapofungwa lakini kwa kumbukumbu nilizonazo pesa wanayolipa haizidi hazidi hata shilingi elfu mbili mia tano.
Ni mara chache sana kusikia vilabu vya ulaya kuwa na migogoro hata sehemu za afrika kama afrika kaskazini, kusini mwa afrika na maghalibi lakini kwa Tanzania haupiti Mwaka utaskia kelele kibaya zaidi unaweza kuchaguliwa kwa kura nyingi lakini mwisho wa siku hukaonekana hauna maana hata kidogo hizo ndizo simba na yanga .
Ukiachia simba na yanga vilabu vingi vianyoshiriki ligi Tanzania au hata visivyoshiriki ligi Tanzania vina kabiliwa na tatizo kubwa la kiuchumi ukitazama kiuzamini wazamini wengi hukimbilia kuvizamini vilabu hivyo hivyo ambazo haviishi migogoro je kuna uwezekano wa pesa za wazamini hawa zikawa zinaanzisha migogoro vilabu hujazwa mapesa na kuwa na nguvu kiuchumi na hupambana na timu ambazo wakati mwingine nauli za kusafiria havina kabisa .
Tangu viwanda kadhaa vife au kushindwa kujiendesha timu zao ushindani wa soka na michezo mingine umekufa kabisa mfano mzuri kiwanda cha ushirika cha mkoani Kilimanjaro kilikuwa kikimiliki timu ya ushilika ya moshi.
  Lakini tangu kiwanda kife na timu nayo imekufa viwanda vingi vimeshindwa kuendesha timu kama sigara ambao walikuwa na timu ambayo iliwahi kushiliki hata mashindano ya kimataifa , zipo timu nyingi za mashilika ya umma ambayo ya leo mashilika husika na timu zake zimekufa lakini kikubwa kinachooneka ni aina ya uongozi wa viwanda na vilabu husika kushindwa kuendesha timu.
Jambo la msingi apa vilabu vya soka na vyama vimeshindwa kupata viongozi sahihi  wa kuongoza taasisi hivi na sio vilabu hata serikali nayo imeshindwa  ,kwa mfano simba na Yanga zimekuwa zikitumia mamilioni ya shilingi kusajiri wachezaji walioshindikana nchini mwao ambao wachezaji hao wameshindwa  kuzisaidi simba hata kufika robo fainali ya klabu bingwa afrika kama sio kombe la  shirikisho.
 Mapesa wanayotumia kununua wachezaji kwa muongo mmoja yangeweza kabisa kutengeneza mradi wa ukuzaji wa vipaji vya watoto lakini yote haya yanasababishwa na mifumo iliyoooza ambayo hata Mbwa hawezi kunusa Rais kikwete aliwahi kusema katika ziara ya kombe la dunia kuwa
 “Lazima tutazame vilabu vyetu hapa nchini Vinaongozwa zaje wengi wetu tunafahamu kuwa  haviongozwi vizuri huo ndio mzizi wa fitina bila kulitazama hilo hatutaweza kusonga mbele hadi mwisho wa Dunia “
 Naam ipo haja ya kuutafakari usemi huu lazima tutazame mifumo ya uongozi wa vyama husika tuweke mifumo mipya itakayoweza kubuni mbinu za kuleta maendeleo kisoka na michezo mingine bila hivyo ,Tanzania itapitwa hata na sudan kusini ambao ndio taifa jipya katika soka afrika.    

Thursday, February 28, 2013

KAZI ILIVYO ANZWA JANA NA BECKHAM PSG HIYOO JANA USIKU


DAVID Beckham alithibitisha kwamba miguu yake ya kizee bado iko fiti, na wakati Zlatan Ibrahimovic akiendeleza kasi yake ya kufunga wakati mastaa hao wawili walipoibeba Paris Saint-Germain, illipoilaza Marseille ya Joey Barton, kwa mabao 2-0 kufika robo fainali  ya Kombe la Ufaransa.
Beckham alicheza kwa dakika 15 akitokea benchi, Jumapili wakati timu yake iliposhinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Marseille kwenye Ligi Kuu ya Ufaransa, na alitengeneza bao la pili la Ibrahimovic. 
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37, nahodha wa zamani wa England alicheza soka la hali ya juu huku akipewa kadi ya njano katika dakika za mwisho za mchezo huo, dakika chache kabla ya kutolewa uwanjani katika dakika ya 86 huku akishangiliwa na uwanja mzima wakati akitoka.

Le Crunch: Joey Barton takes no prisoners as David Beckham (right) is sent flying
Kazi: Joey Barton akifanya shughuli kwa kumchapa David Beckham (kulia) 

David Beckham and Joey Barton
David Beckham and Joey Barton
“Nimefurahi sana kucheza kwa dakika 86, nimefurahi sana,” Beckham alisema: “Nilijisikia poa. Nimekuwa nikifanya kazi kwa nguvu. Inanisadia kuwa na wachezaji wamenizunguka ambao wanafanya kazi kama hivi na kucheza kama hivi.”
Akicheza mbele ya mabeki wane, Beckham aliibeba kiungo ya PSG kwa pasi murua za kila wakati.
“Alikuwa na mchezo mzuri na ameonyeshja kwamba anaweza kudumu kwa muda mrefu,” alisema kocha wa  PSG Carlo Ancelotti. “kuna vitu vingi ambavyo anaweza kutuonyesha – uzoefu wake, upigaji wake wa pasi, kujitoa kwake. Sidhani kama alicheza kama hana umri wa miaka 37.”
Ibrahimovic, kwa upande wake alionekana kutaka kumfunika kila mtu, wakati akifikisha mabao 26 kwenye michuano yote, alifunga bao lake la kwanza kwenye dakika ya 34, kabal ya kuongeza la pili kwenye dakika ya 64.
Mabao yake yamekuja masaa machache baaba ya Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) kutangaza kumfungia mechi mbili, hivyo atakosa mechi ijayo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, pia atakosa mechi yake ya kwanza ya robo fainali kama timu yake itasonga mbele.

Sore one: Beckham (right) is tackled by Marseille's midfielder Jacques Romao
Buti: Beckham (Kulia) akichapwa na kiungo wa Marseille, Jacques Romao 
Beckham alimanusura azalishe bao kwenye dakika ya 62, baada ya Zoumana Camara kuunganisha kwa kichwa kona aliyopiga, lakini mpira uliokolewa kwenye mstari wa goli. Dakika chache baadaye alikaribia kuzichapa na mshambuliaji wa Marseille, Jordan Ayew baada ya dogo huyo kumchezea vibaya mara mbili. Baada ya tukio hilo waliendelea kubishana mpaka mwamuzi alipokuja kuwaamulizia.
“Mechi ilitawaliwa na ubabe kila kona, na ilikuwa kama hivyo kwenye mechi mwisho wa wiki, na itakuwa hivyo kwenye kila mechi kati ya PSG na Marseille,” Beckham alisema. “huwa unakumbuka matukio kama haya ukiwa nje ya uwanja, nilikutana na matukio kama haya nikiwa Marekani, ya leo ilikuwa poa sana.”
Beckham alipewa kadi ya njano na baadaye alitolewa nje na Ancelotti huku mashabiki wakiliimba jina lake “Dav-eed Beckham, Dav-eed Beckham,” pale Parc des Princes. 
“Hatukutakiwa kusubiri mpaka usiku wa leo, kujua kuwa ni mpigaji pasi hodari na anajua sana kupiga mipira iliyokufa,” kocha wa Marseille, Elie Baup alisema. 
Beckham alicheza chini sana mbele ya mabeki huku akiwa mezungukwa na Blaise Matuidi na Clement Chantome  kila upande.

Eyes on the prize: Beckham helped his new side to victory in the French Cup tie
Beckham alimanusura azalishe bao kwenye dakika ya 62, baada ya Zoumana Camara kuunganisha kwa kichwa kona aliyopiga, lakini mpira uliokolewa kwenye mstari wa goli. Dakika chache baadaye alikaribia kuzichapa na mshambuliaji wa Marseille, Jordan Ayew baada ya dogo huyo kumchezea vibaya mara mbili. Baada ya tukio hilo waliendelea kubishana mpaka mwamuzi alipokuja kuwaamulizia.
“Mechi ilitawaliwa na ubabe kila kona, na ilikuwa kama hivyo kwenye mechi mwisho wa wiki, na itakuwa hivyo kwenye kila mechi kati ya PSG na Marseille,” Beckham alisema. “huwa unakumbuka matukio kama haya ukiwa nje ya uwanja, nilikutana na matukio kama haya nikiwa Marekani, ya leo ilikuwa poa sana.”
Beckham alipewa kadi ya njano na baadaye alitolewa nje na Ancelotti huku mashabiki wakiliimba jina lake “Dav-eed Beckham, Dav-eed Beckham,” pale Parc des Princes. 
“Hatukutakiwa kusubiri mpaka usiku wa leo, kujua kuwa ni mpigaji pasi hodari na anajua sana kupiga mipira iliyokufa,” kocha wa Marseille, Elie Baup alisema. 
Beckham alicheza chini sana mbele ya mabeki huku akiwa mezungukwa na Blaise Matuidi na Clement Chantome  kila upande.
Main men: Beckham with team-mate Zlatan Ibrahimovic before kick off
Angalia: Beckham aliisaidia timu yake kushinda mechi ya Kombe la Ufaransa

Dakika chache baada ya bao hilo wachezaji wa timu zote mbili walianza kuonyeshana ubabe kati kati ya uwanja baada ya Alaixys Romao kumchapa Beckham, Japokuwa hakuchukua hatua yoyote, kutokana na rafu hiyo na hata akafikia hatua kuamulia ugomvi pale mambo yalipoonekana kwenda kombo.
Beckham alijaribu kukaba mipira pale alipoweza lakini muda mwingi alikuwa akipata wakati mgumu kutoka kwa winga mwenye kasi Mathieu Valbuena ambaye mara kadhaa alimzidi kasi, hadi kufikia dakika ya 70 alionekana kuanza kuchoka kutokana na kuonekana akiwa  ameshika mikono yake kiunoni huku akihema juu juu.
Lakini bado aliendelea kupambana hadi ikafikia wakati akapandishiana na Ayew, hata Joey Barton kuna wakati alionekana mara kadhaa akimvagaa Beckham, jambo ambalo lilisababisha viongozi wa timu zote mbili kuingilia ugomvi huo.

Opening salvo: Zlatan Ibrahimovic scores to put PSG in front against Marseille and celebrates (below)
Bao: Zlatan Ibrahimovic akifunga bao la kwanza la PSG, chini akisherekea na wachezaji wenzake
Zlatan Ibrahimovic celebrates 
“Nilipigwa kiwiko na Joey (Barton). Alifafanua tukio hilo baada ya mechi,” Beckham alisema. “Joey anawafanyia kazi nzuri na ni mchezaji mwenye kipaji. Namtakia kila la kheri.”
Dakika chache kabla ya hapo, UEFA walisema kwamba kamati yake ya nidhamu imemuongezea adhabu ya mechi mbili Ibrahimovic, kutokana na kumchezea vibaya Kiungo wa Valencia, Andres Guardado kwenye dakika za mwisho za mechi ya 16 bora mwanzoni mwa mwezi huu.
Over and out: Ibrahimovic confirmed the win for PSG with a second-half penalty
KWISHA: Ibrahimovic akipiga msumari wa mwisho kwenye jeneza la PSG kwa njia ya penalti 
Over and out: Ibrahimovic confirmed the win for PSG with a second-half penalty

KIM POULSEN KUSHIRIKI KILI MARATHON


pichana bin zubeiry Kim Poulsen
Na mwandishi  wetu

















 
 
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa (Tanzania), Kim Poulsen amethibitisha kushiriki mbio za Kilimanjaro Marathon mwaka huu. Mbio hizo zimepangwa kufanyika mjini Moshi Jumapili ya Machi na atakimbia umbali wa kilomita 21.
Hii ni historia mpya kwa Tanzania kwa kocha wa timu ya taifa kushiriki mbio za Kilimanjaro Marathon ambazo zilianza rasmi zaidi ya miaka 10 iliyopita kwa udhamini wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
“Nataka kujaribu mbio hizo kwa sababu napenda changamoto na hii itanipa fursa nzuri ya kukimbia huku nikiuzunguka Mlima Kilimanjaro ambao ni maarufu,” alisema.
Poulsen aliongeza kuwa yupo tayari kwa mashindano baada ya kufanya mazoezi kwa miezi kadhaa. “Kwa kawaida kila siku nafanya mazoezi ya kukimbia, na sasa naweza kusema kuwa nipo tayari kwa ajili yam bio hizo,” alisema.
Aliongeza: “Nikiwa kocha timu ya taifa, nimeona umuhimu wa kuungana na watu wengine katika medani nyingine za michezo…sijawahi kushiriki Kilimanjaro marathon lakini nimesikia mengi mazuri kuhusu mbio hizo na ndiyo maana nikaamua kushiriki.”
Kwa ushiriki huo, kocha huyo atakutana na magwiji wa mbio hizo Tanzania na maelfu ya wakimbiaji kutoka nchi zaidi ya 40.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe amesifu uamuzi wa wa kocha na  kusema kuwa hatua ya Poulsen itachangia kwa kiasi kikubwa kuhamasisha zaidi mbio hizo. “Kocha ameamua kwa dhati kushiriki na hali hiyo inaonyesha wazi kuwa hata katika timu ya taifa anatimiza vema majukumu yake,” alisema Kavishe.
Kampuni ya Executive Solutions ndio waratibu rasmi wa mashindano hayo hapa nchini huku wadhamini wengine wakiwa ni  Vodacom Tanzania (5km Fun Run), GAPCO (Mbio fupi kwa wenye ulemavu),  Tanga Cement, CFAO Motors, KK Security, Keys Hotel, TPC Sugar, TanzaniteOne, Hoteli ya New Arusha, Maji ya Kilimanjaro , FastJet, Clouds FM na Shirika la Mfuko wa Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa (UNFPA).

BOBAN NA MIKASA SOKA SIMBA SPORT CLUB

BOBAN NA MIKASA SOKA SIMBA SPORT CLUB


 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiM5NS0oDnu_QJZw6m2W5mrwl1Cu9xYtAAsCtjZvtRp__qTS7uLj52OLlGl7tKMU125rpTB47RAfIP7kgXp7pvwHZ0ENnZLjqI0y0kMh3E3c-vtAaJVXCMxvJ3U7lDAf_WErWbxjhirghn5/s1600/boban.jpg

Kiungo Haruna Moshi 'Boban' wa Simba hatakuwamo katika kikosi cha timu yake kitakachosafiri kesho kwenda Angola kucheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Recreativo de Libolo kutokana na majeraha,.
 Boban aliondolewa tangu juzi katika kikosi chao kitakachoondoka kesho alfajiri kwenda kujiandaa kwa mechi hiyo watakayojaribu kubadili matokeo na kusonga mbele baada ya kukubali kipigo  cha bao 1-0 kwenye Uwanja wa Taifa wiki iliyopita.

Daktari wa Simba, Cosmas Kapinga, amesema kuwa Boban hajafanya mazoezi na wenzake tangu walipomaliza mechi ya ligi ya Bara dhidi ya Mtibwa Sugar ambapo walilala bao 1-0. Daktari huyo aliongeza kuwa kutokana na kutokuwa 'fiti', Boban na mshambuliaji wao yosso, Edward Christopher wameondolewa na kocha wao Mfaransa Patrick Liewig katika mipango yake kwa ajili ya maandalizi dhidi ya Libolo
.

Wednesday, February 27, 2013

DIDIER DROGBA RUKSA KUCHEZEA GALATASARAY HOJA YA SCHALKE O4 HAINA MASHIKO Benedikt Howedes and Didier Drogba Didier Drogba Ameruhusiwa kuchezea klabu ya soka ya Galatasaray ya uturuki katika ligi ya mbaingwa ya ulaya baada ya kutupiliwa mbali kwa malalamiko ya timu ya schalke kutoka ujerumani kukataliwa Mchezaji huyo mwenye miaka 34 alicheza mechi yake ya kwanza katika ligi ya mabingwa barani ulaya Tarehe 20 katika hatua ya mtoano ya mzunguko wa kumi na sita bora ambapo hoja kuu ya timu hiyo ya ujerumani ilikuwa mchezaji huyo hakusajiriwa katika muda sahihi kiasi cha kumfanya kucheza katika ligi ya mbaingwa barani ulaya . Aidha shikiriko la vyama vya soka ulaya UEFA limesema kuwa mchezaji huyo ailisajiriwa Feb 1 na kama wangekutwa na hatia wangetakiwa kwenda kucheza mechi ya mkondo wa pili wakiwa na deni la bao tatu ikiwa ni adhabu ya kuchezesha mchezaji ambaye harusiwi kucheza .Wakati hayo yakiendelea kwa amchezaji huyo aliyesaini miezi kumi na nne kuchezea timu kwa mkopo kutoka shanghai shenhua mwezi january timu hiyo bado inakwenda kushitaki fifa kwani imeshangazwa na kitendo cha mchezaji huyo kuondoka ghalfa


Benedikt Howedes and Didier Drogba

Didier Drogba Ameruhusiwa kuchezea klabu ya soka ya Galatasaray ya uturuki  katika ligi ya mbaingwa ya ulaya baada ya kutupiliwa mbali kwa malalamiko ya timu ya schalke kutoka ujerumani kukataliwa
Mchezaji huyo mwenye miaka 34 alicheza mechi yake ya kwanza katika ligi ya mabingwa barani ulaya Tarehe 20 katika hatua ya mtoano ya mzunguko wa kumi na sita bora 
ambapo hoja kuu ya timu hiyo ya ujerumani ilikuwa mchezaji huyo hakusajiriwa katika muda sahihi kiasi cha kumfanya kucheza katika ligi ya mbaingwa barani ulaya 
.
Aidha shikiriko la vyama vya soka ulaya UEFA limesema kuwa mchezaji huyo ailisajiriwa Feb 1 na kama wangekutwa na hatia wangetakiwa kwenda kucheza mechi ya mkondo wa pili wakiwa na deni la bao tatu ikiwa ni adhabu ya kuchezesha mchezaji ambaye harusiwi kucheza 
.Wakati hayo yakiendelea kwa amchezaji huyo aliyesaini miezi kumi na nne kuchezea timu kwa mkopo kutoka shanghai shenhua mwezi january timu hiyo  bado inakwenda kushitaki fifa kwani imeshangazwa na kitendo cha mchezaji huyo kuondoka ghalfa

Benedikt Howedes and Didier Drogba

Didier Drogba Ameruhusiwa kuchezea klabu ya soka ya Galatasaray ya uturuki  katika ligi ya mbaingwa ya ulaya baada ya kutupiliwa mbali kwa malalamiko ya timu ya schalke kutoka ujerumani kukataliwa
Mchezaji huyo mwenye miaka 34 alicheza mechi yake ya kwanza katika ligi ya mabingwa barani ulaya Tarehe 20 katika hatua ya mtoano ya mzunguko wa kumi na sita bora 
ambapo hoja kuu ya timu hiyo ya ujerumani ilikuwa mchezaji huyo hakusajiriwa katika muda sahihi kiasi cha kumfanya kucheza katika ligi ya mbaingwa barani ulaya 
.
Aidha shikiriko la vyama vya soka ulaya UEFA limesema kuwa mchezaji huyo ailisajiriwa Feb 1 na kama wangekutwa na hatia wangetakiwa kwenda kucheza mechi ya mkondo wa pili wakiwa na deni la bao tatu ikiwa ni adhabu ya kuchezesha mchezaji ambaye harusiwi kucheza 
.Wakati hayo yakiendelea kwa amchezaji huyo aliyesaini miezi kumi na nne kuchezea timu kwa mkopo kutoka shanghai shenhua mwezi january timu hiyo  bado inakwenda kushitaki fifa kwani imeshangazwa na kitendo cha mchezaji huyo kuondoka ghalfa

Jordan na Dede Ayew WASTAAFU KUCHEZEA BLACKSTARS YA GHANA

Jordan na Dede Ayew WASTAAFU KUCHEZEA BLACKSTARS YA GHANA



Watoto wawili wa kiume wa mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ghana  Abedi Pele wamesema hawakufurahishwa na walivyokuwa  wakitendewa na Mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya Ghana na wameamua kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Ghana  .

Maamuzi hayo ambayo yamechukuliwa na wachezaji hao wawili  Jordan and Dede Ayew ambao wanachezea timu ya  Olympique Marseille tayari wamekwisha wasiliana na Chama cha soka cha Ghana lakini bado chama hicho hakija thibitisha Taarifa hizo  .
Andre ambaye aliachwa kuchezea timu hiyo katika mataifa ya Afrika alisikitsihwa pia na mdogo wake kuachwa kuichezea timu hiyo katika michuano ya kimataifa ya  kombe la Afrika  kuwa hawakuwa na Nidhamu .
Nyota wa Real Madrid  Michael Essien hayuko tayari kujiunga na Ghana wakati  Kevin - Prince Boateng  bado anasubiriwa kurejea kwenye timu ya taifa ya Ghana baada ya kustaafu Mwaka 2011.

CHESLSEA USO KWA USO NA MANCHESTER UNITED KOMBE LA FA

Ramires's shot for Chelsea goes in off Fernando Torres

Chelsea Itakutana na  Manchester United  katika hatua ya Robo fainali ya kombe la  FA  baada ya kuifunga timu ya ligi ya daraja kwanza ya  Middlesbrough katika uwanja wa  Riverside.
huku  John Terry's akirejea uwanjani  na kuwa mmoja kati ya  wachezaji nane ambao hawakucheza mechi iliyopita dhidi City Mbrazil  Ramires's  alifunga bao kwa shuti kali lilomgonga   Fernando Torres na kujaa kimiani . 
 
  akitokea  kwenye Benchi  Eden Hazard aliongeza uhai sehemu ya kiungo na kumtengenezea Victor Moses ambaye alifunga goli la pili .