
Chelsea Itakutana na Manchester
United katika hatua ya Robo fainali ya kombe la FA baada ya kuifunga
timu ya ligi ya daraja kwanza ya Middlesbrough katika uwanja wa
Riverside.
huku John Terry's akirejea uwanjani na kuwa mmoja kati ya wachezaji nane ambao hawakucheza mechi iliyopita dhidi City Mbrazil Ramires's alifunga bao kwa shuti kali lilomgonga Fernando
Torres na kujaa kimiani .
akitokea kwenye Benchi Eden
Hazard aliongeza uhai sehemu ya kiungo na kumtengenezea Victor Moses
ambaye alifunga goli la pili .
No comments:
Post a Comment