Didier Drogba Ameruhusiwa
kuchezea klabu ya soka ya Galatasaray ya uturuki katika ligi ya
mbaingwa ya ulaya baada ya kutupiliwa mbali kwa malalamiko ya timu ya
schalke kutoka ujerumani kukataliwa
Mchezaji huyo mwenye miaka 34
alicheza mechi yake ya kwanza katika ligi ya mabingwa barani ulaya
Tarehe 20 katika hatua ya mtoano ya mzunguko wa kumi na sita bora
ambapo hoja kuu ya timu hiyo ya
ujerumani ilikuwa mchezaji huyo hakusajiriwa katika muda sahihi kiasi
cha kumfanya kucheza katika ligi ya mbaingwa barani ulaya
.
Aidha shikiriko la vyama vya soka ulaya
UEFA limesema kuwa mchezaji huyo ailisajiriwa Feb 1 na kama wangekutwa
na hatia wangetakiwa kwenda kucheza mechi ya mkondo wa pili wakiwa na
deni la bao tatu ikiwa ni adhabu ya kuchezesha mchezaji ambaye harusiwi
kucheza
.Wakati hayo yakiendelea kwa
amchezaji huyo aliyesaini miezi kumi na nne kuchezea timu kwa mkopo
kutoka shanghai shenhua mwezi january timu hiyo bado inakwenda
kushitaki fifa kwani imeshangazwa na kitendo cha mchezaji huyo kuondoka
ghalfa

No comments:
Post a Comment