Thursday, February 7, 2013

ENGLAND YAICHAPA BRAZIL, SPAIN, GERMANY, ARGENTINA JUU!!

SOKA LA DUNIA

>>ASHLEY COLE, RONALDINHO WACHEZA MECHI 100!!
ASHLEY_COLEKILA PEMBE ya Dunia jana ilishuhudia Mechi za Kimataifa za Kirafiki kwenye Siku ya Kalenda ya FIFA na ifuatayo ni Taarifa ya Mechi hizo pamoja na Matokeo.
ENGLAND 2 BRAZIL 1
KATIKA Mechi ya Kimataifa ya Kirafiki ambayo pia ni ya kusherehekea Miaka 150 ya FA, Chama cha Soka England, England jana iliibwaga Brazil Bao 2-1 Uwanjani Wembley Jijini London na hii ni mara ya kwanza kuifunga kwa Miaka 23.
Brazil walikosa Penati iliyookolewa na Kipa Joe Hart ilipopigwa na Ronaldinho  na Wayne Rooney hakufanya makosa alipoifungia England Bao la kwanza.
++++++++++++++++++++
MAGOLI:
England 2
-Wayne Rooney Dakika ya 26
-Lampard 60
Brazil 1
-Fred Dakika ya 48
++++++++++++++++++++
Brazil walisawazisha kufuatia makosa ya Beki Gary Cahill na Fred kufunga lakini alikuwa ni Mkongwe Frank Lampard aliepiga Bao la pili na la ushindi.
++++++++++++++++++++++++++++++
Ashley Cole ajiunga Klabu ya Wachezaji 7 waliochezea England Mechi 100:
[Cole, Miaka 32, alicheza Mechi yake ya kwanza 2001  England ilipocheza na Albania]
Wengine waliocheza Mechi 100 [Na Zaidi]:
-Peter Shilton (125)
-David Beckham (115)
-Bobby Moore (108)
-Bobby Charlton (106)
-Billy Wright (105)
-Steven Gerrard (100)
++++++++++++++++++++++++++++++
Huo ni ushindi wa kwanza wa England dhidi ya Brazil tangu Mwaka 1990 walipoifunga 1-0 Uwanjani Wembley kwa Bao la Gary Lineker.
VIKOSI:
England (Mfumo: 4-2-3-1): Hart; Johnson, Smalling, Cahill, Cole; Gerrard, Wilshere; Walcott, Cleverley, Rooney; Welbeck. 
Akiba: Butland, Walker, Baines, Jagielka, Lescott, Milner, Lampard, Osman, Lennon, Oxlade-Chamberlain.
Brazil (Mfumo: 4-2-3-1): Cesar; Alves, Luiz, Dante, Adriano; Ramires, Paulinho; Ronaldinho, Neymar, Oscar; Luis Fabiano.
Akiba: Diego Alves, Luis Castan, Miranda, Arouca, Jean, Lucas, Fred, Hulk.
SPAIN 3 URUGUAY 1
**Imechezwa Doha, Qatar
++++++++++++++++++++
MAGOLI:
Spain 3
-Fabregas Dakika ya 16
-Pedro 51 & 74
Uruguay 1
-Rodriguez Dakika ya 48
++++++++++++++++++++
VIKOSI:
Spain: Valdes, Azpilicueta, Ramos, Puyol, Alba, Iniesta, Busquets, Cazorla, Pedro, Fabregas, Mata.
Uruguay: Muslera; Pereira, Lugano, Godin, Caceres; Gonzalez, Diego Perez, Lodeiro, Cristian Rodriguez, Cavani, Suarez.
FRANCE 1 GERMANY 2
++++++++++++++++++++
MAGOLI:
France 1
-Mathieu Valbuena Dakika ya 26
Germany 2
-Muller Dakika ya 51
-Sami Khedira 74
++++++++++++++++++++
SWEDEN 2 ARGENTINA 3
MAGOLI:
Sweden 2
-Martin Olsson Dakika ya
-Rasmus Elm 90
Argentina 3
-Lusting Dakika ya 3 [Kajifunga mwenyewe]
-Sergio Aguero 19
-Gonzalo Higuain 23
++++++++++++++++++++
MECHI== Siku ya Kalenda ya FIFA
[Zote Kirafiki isipokuwa inapotajwa]
Jumatano, Februari 6
France 1 Germany 2
Netherlands 1 Italy 1
Belgium 2 Slovakia 1
Wales 2 Austria 1
Turkey 0 Czech Republic 2
Greece 0 Switzerland 0
Scotland 1 Estonia 0
England 2 Brazil 1
Republic of Ireland 2 Poland 0
Israel 2 Finland 1
Sweden 2 Argentina 3
Japan 3 Latvia 0
Norway 0 Ukraine 2
Malta 0 Northern Ireland 0
Spain 3 Uruguay 1 [Doha, Qatar]
Azerbaijan 1 Liechtenstein 0 [Dubai, UAE]
Portugal 2 Ecuador 3
Croatia 4 Korea Republic 0
Hungary 1 Belarus 1
Slovenia 0 Bosnia Herzegovina 3
Moldova 1 Kazakhstan 3
FYR Macedonia 3 Denmark 0
Albania 1 Georgia 2
Nepal 0 Pakistan 1
India 2 Palestine 4
Guatemala v Colombia
Chile 2 Egypt 1
Iceland 0 Russia 2
Romania 3 Australia 2
Kenya 3 Libya 0
Cyprus 1 Serbia 3
Paraguay 3 El Salvador 0
Myanmar 0 Philippines 1
Trinidad and Tobago v Peru
Bolivia v Haiti
Tanzania 1 Cameroon 0
Zimbabwe 2 Botswana 1
Rwanda 2 Uganda 2
MCHUJO KOMBE LA DUNIA 2014
Honduras 2 USA 1
Mexico v Jamaica
Panama v Costa Rica
MCHUJO KOMBE LA MATAIFA ASIA
Yemen 0 Bahrain 2
Iran 5 Lebanon 0
Uzbekistan 0 Hong Kong 0
Jordan 4 Singapore 0
Oman 1 Syria 0
Iraq 1 Indonesia 0 [Imechezwa Dubai, UAE]
Vietnam 1 United Arab Emirates 2
Qatar 2 Malaysia 0
Thailand 1 Kuwait 3
Saudi Arabia 2 China PR 1

No comments:

Post a Comment