Mpinzanai wa bondia Francis Cheka
toka Ujerumani, Benjamin Simon ambaye walikuwa wapambane tarehe 18 Decemba
kugombea mkanda wa IBF wa mabara ameumia na mpambano wao umefutwa.
Meneja wa Simon, bwana Robert Dolle ambaye
naye ni bondia pia ameiarifu IBF kuwa walikuwa wanangoea kujua kama kweli
hataweza kucheza ndio watoe taarifa hiyo. Ifuatayo ni nakala ya meseji ya email
toka kwa Robert Dolle:
No comments:
Post a Comment