Yohan Blake na Usain Bolt wameng'ara tena kwenye mbio za Diamond League mjini Zurich.
Wajamaica Blake, aliyeshinda medali mbili za Fedha kwenye Olimpiki London, wakimgaragaza Mmarekani Tyson Gay - wamefanya mambo tena.

Usain Bolt akikimbia kushinda mbio za mita 200 Zurich



No comments:
Post a Comment