Thursday, August 30, 2012

EUROPA LIGI: Raundi ya Mchujo kuhitimishwa leo


Alhamisi, 30 Agosti 2012 11:07
Chapisha Toleo la kuchapisha
EUROPA_LIGI_CUP>>LIVERPOOL & NEWCASTLE kufuzu??
>>DROO ya Makundi kufanyika Ijumaa Agosti 31 huko Monaco!
Tayari VfB Stuttgart ya Germany imeingia hatua ya Makundi baada ya juzi kuibwaga Dinamo Moscow na leo zitapatikana Timu nyingine 30 baada ya kukamilika Mechi za Raundi ya Mchujo ambazo pamoja na Timu 7 zilizoingizwa moja kwa moja hatua ya Makundi na Timu 10 zilizotolewa Raundi ya Mchujo ya UEFA CHAMPIONZ LIGI ili kufanya jumla ya Timu 48 zitaingizwa kwenye Droo kupanga Makundi 12 ya Timu 4 kila moja.
Mechi za kwanza za Makundi ni Septemba 20.
Wawakilishi wa England, Liverpool na Newcastle, wote wanacheza nyumbani na wote wana nafasi nzuri kusonga kwenye Makundi baada ya kufanya vizuri kwenye Mechi zao za kwanza za Raundi ya Mchujo kwa Liverpool kuifunga 1-0 Hearts ya Scotland na Newcastle kutoka 1-1 huko Ugiriki na Atromitos FC.
Haijajulikana kama leo Liverpool na Newcastle zitachezesha Vikosi dhaifu kama walivyofanya katika Mechi za kwanza ili kuwapumzisha Mastaa wao kwa Mechi za Ligi Kuu England za Wikiendi hii.
MATOKEO/RATIBA
Jumanne Agosti 28
Dinamo Moscow – Russia 1 VfB Stuttgart – Germany 1 [1-3]
Alhamisi Agosti 30
FC Dnipro Dnipropetrovsk – Ukraine v Slovan Liberec - Czech Republic [2-2]
DILA Gori – Georgia v Maritimo – Portugal [0-1]
SC Heerenveen – Netherlands v Molde FK – Norway [0-2]
PSV Eindhoven – Netherlands v Zeta – Montenegro [5-0]
HJK Helsinki – Finland v Athletic de Bilbao – Spain [0-6]
Hapoel Tel-Aviv FC – Israel v F91 Dudelange – Luxembourg [3-1]
Apoel Nicosia – Cyprus v Neftchi Baku – Azerbaijan [1-1]
Rosenborg BK – Norway v Legia Warsaw – Poland [1-1]
CSKA Moskva – Russia v AIK Solna – Sweden [1-0]
AC Sparta Prague - Czech Republic v Feyenoord Rotterdam – Netherlands [2-2]
FC Steaua Bucuresti – Romania v FK Ekranas – Lithuania [2-0]
BSC Young Boys – Switzerland v FC Midtjylland – Denmark [3-0]
KRC Genk – Belgium v Luzern – Switzerland [1-2]
FC Metalist Kharkiv – Ukraine v FC Dinamo Bucuresti – Romania 2-0]
FC Viktoria Plzen - Czech Republic v KSC Lokeren – Belgium [1-2]
FC Girondins de Bordeaux – France v FK Crvena zvezda – Serbia [0-0]
Olympique de Marseille – France v FC Sheriff Tiraspol – Moldova [2-1]
Club Brugge KV – Belgium v Debreceni VSC – Hungary [3-0]
Videoton Szekesfehervar – Hungary v Trabzonspor – Turkey [0-0]
Internazionale – Italy v FC Vaslui – Romania [2-0]
Hannover 96 – Germany v WKS Slask Wroclaw – Poland [5-3]
FK Partizan – Serbia v Tromso – Norway [2-3]
Levante – Spain v Motherwell FC – Scotland [2-0]
SK Rapid Wien – Austria v PAOK FC – Greece [1-2]
Newcastle United FC – England v Atromitos FC – Greece [1-1]
SS Lazio – Italy v Mura – Slovenia [2-0]
AZ Alkmaar – Netherlands v FC Anzhi – Russia [0-1]
FC Twente Enschede – Netherlands v Bursaspor – Turkey [1-3]
Liverpool – England v Hearts – Scotland [1-0]
Sporting Lisbon – Portugal v Horsens – Denmark [1-1]
HATUA YA MAKUNDI:
- TIMU ZITAKAZOINGIA HATA YA MAKUNDI MOJA KWA MOJA:
-Academica [Portugal]
-Atletico [Spain]
-Leverkusen [Germany]
-Lyon [France]
-Napoli [Italy]
-Rubin [Russia]
-Tottenham [England
Timu hizi 7 zilizoingia moja kwa moja hatua ya Makundi zitajumuishwa na Washindi 31 wa Raundi ya Mchujo pamoja na Timu 10 zilizotolewa Raundi ya Mchujo ya UEFA CHAMPIONZ LIGI na kufanya jumla ya Timu 48 ambazo zitaingizwa kwenye Droo ili kupanga Makundi 12 ya Timu 4 kila moja.
Mechi za kwanza za Makundi ni Septemba 20.
RATIBA HATUA YA MAKUNDI:
-Mechi ya 1=Septemba 20
-Mechi ya 2=Oktoba 4
-Mechi ya 3=Oktoba 25
-Mechi ya 4=Novemba 8
-Mechi ya 5=Novemba 22
-Mechi ya 6=Desemba 6
RATIBA HATUA YA MTOANO
RAUNDI YA TIMU 32:
-Mechi ya 1=14 Februari 2013
-Mechi ya 1=21 Februari 2013
RAUNDI YA TIMU 16:
-Mechi ya 1=7 Machi 2013
-Mechi ya 2=14 Machi 2013
ROBO FAINALI:
-Mechi ya 1=4 Aprili 2013
-Mechi ya 2=11 Aprili 2013
NUSU FAINALI
-Mechi ya 1=25 Aprili 2013
-Mechi ya 2=2 Mei 2013
FAINALI
15 Mei 2013
UWANJA wa AMSTERDAM ARENA

No comments:

Post a Comment